Boresha usimamizi wa ushirika wako
Ongeza idadi ya wanachama wako, toa mikopo kwa wanachama kwa haraka, na angalia mapato yako yakiongezeka kwa kasi.
A digital financial system made for your cooperative
Wakandi inatumika na meneja au msimamizi wa chama chako cha ushirika kutekeleza majukumu mbalimbali ya kiutawala. Inatoa mtazamo kamili wa shughuli za wanachama kwa wakati halisi.
Tazama mfano wa mfumo wetu hapa
Bonyeza kitufe hiki kupata ukurasa mzima
Urahisi kwa Wanachama
Wanachama wanaweza kusimamia hisa zao, kuomba mikopo, na kutoa michango kupitia App ya mwanachama ya wakandi. Wakandi inatoa uwezo wa kufuatilia na kusimamia pesa kwa ufanisi kupitia App ya mwanachama au hata SMS.
Fuatilia deni lako, akiba, na hisa
Pakia nyaraka na maelezo ya mdhamini
Hifadhi pesa unapotaka kupitia simu, karani, au benki
Punguza hatari za kubeba pesa kwa ajili ya kutoa na kuweka
Jenga historia ya kifedha ili uweze kuunda fursa bora zaidi
Making it easy for you
We work with you from start to end so all your requirements are met.
Benefits to admins
- A tailor-made digital system to reduce your tedious paperwork
- Make reporting easier and quicker to meet compliance
- Easy implementation of your policies
- Automatic reconciliation of transactions
- Quick look at savings, loans, pending applications and more
- Detailed overview of members and their activities
- Informed decision making
- Easily meet new rules and regulations
Benefits to members
- Quick overview of your loans, savings, and shares
- Access through iPhone and Android apps as well as USSD
- Reduce risk of carrying cash for deposits and withdrawal
- Build your financial history
- Increase your credit worthiness
- Access to formal financial services
Gharama Zetu
Nia ya kuweka watu kwanza inatoa msukumo kwa muundo wa bei wa Wakandi. Tunayo muundo wa bei wenye haki na uwazi ili hakuna kitu kisichoweza kuwa kikwazo kwa maendeleo yako.
Ada ya Mwanachama Hai
Hutalipa chochote kwa wanachama ambao hawafanyi miamala yoyote - hivyo tunatoza tu ada kwa wanachama ambao wamefanya miamala na SACCOs ndani ya mwezi husika. Ada hii hulipwa na chama cha ushirika na kutozwa kutoka kwenye akaunti ya kuongeza salio.