Gharama Zetu
Kwenye Wakandi, unapata modali ya gharama ambayo ina uwazi na nafuu. Unapata unafuu huu na thamani wakati unapata uwazi wa gharama hiyo.
Ada ya mteja hai
Ada ya mteja hai inatozwa na Wakandi kulingana na idadi ya wateja hai kwa mwezi.
Wakandi Starter
TSh
300.00
kila mteja
kwa mwezi
Wakandi Standard
TSh
500.00
kila mteja
kwa mwezi
Inakuja hivi karibuni
Wakandi Premium
TSh
1000.00
kila mteja
kwa mwezi
Mteja hai ni mteja aliefanya walau muamala mmoja ndani ya mwezi husika.
Service Fee
Service Fee inachajiwa kwenye miamala ya dirishani (makusanyo na matoleo) inayoshughulikiwa na keshia.
Wakandi Starter
TSh
100.00
kila mteja
kwa mwezi
Wakandi Standard
TSh
100.00
kila mteja
kwa mwezi
Inakuja hivi karibuni
Wakandi Premium
TSh
100.00
kila mteja
kwa mwezi
Ada inalipwa na taasisi kupitia Wakandi Business Account (WBA)
Ada inatumika kulipia gharama za risiti za miamala pamoja na ada za meseji
Ada hii ni fixed na inatozwa kwenye kila muamala, bila kujali kiasi cha muamala.
Convenience fee
Convenience fee inatozwa kwenye miamala inayofanyika kupitia mitandao ya simu au benki.Ada ina viwango mbalimbali kwenye makusanyo na matoleo kulingana na jedwali lifuatalo.
Kima cha chini | Kima cha Juu | Ada |
0 | 1 999 | 50 |
2 000 | 4 999 | 200 |
5 000 | 14 999 | 400 |
15 000 | 29 999 | 500 |
30 000 | 44 999 | 700 |
45 000 | 59 999 | 800 |
60 000 | 79 999 | 900 |
80 000 | 124 999 | 1 000 |
125 000 | 249 999 | 1 100 |
250 000 | Max | 1 200 |
Kima cha chini | Kima cha Juu | Ada |
0 | 4 999 | 100 |
5 000 | 14 999 | 400 |
15 000 | 29 999 | 800 |
30 000 | 44 999 | 1 200 |
45 000 | 59 999 | 1 600 |
60 000 | 124 999 | 2 000 |
125 000 | 249 999 | 3 000 |
250 000 | 499 999 | 5 000 |
500 000 | 999 999 | 7 000 |
1 000 000 | 1 999 999 | 10 000 |
2 000 000 | 3 999 999 | 11 000 |
4 000 000 | Max | 12 000 |
Taasisi inalipa Convenience fee kwa niaba ya wanachama/wateja kupitia Wakandi Business Account (WBA)
Gharama zote tajwa hapo juu zina kodi na ziko kwenye sarafu ya Shillingi za kiTanzania.Tafadhali zingatia kwamba ada za mitandao ya simu ziko palepale kwenye miamala ya mitandao ya simu. Aidha, chaneli za malipo zinaweza kuwa na gharama nyingine na kodi tofauti zinaweza kutozwa.