Hatua muhimu ya bidhaa
Kuna maendeleo mengi ya kusisimua yanakuja kwaajili ya solusheni yetu ya Wakandi! Tazama chini kwa mtazamo wa nini cha kutarajia.
2022: Wakandi kwaajili ya SACCOs
-
2022 — Q4
Kusimamisha kwa urahisi akaunti za wanachama kwenye mfumo
Maendeleo na kutolewa kwa huduma za ununuzi na usimamizi wa bima
Utekelezaji wa mchakato wa juu zaidi wa mdhamini
Uzinduzi wa vipengele vya USSD
Maboresho katika mchakato wa uanachama (KYC)
Uzinduzi wa toleo la kwanza la Tier 2, suluhisho la Microfinance nchini Tanzania -
2022 — Q3
Utekelezaji wa mwisho wa mfumo wa mhasibu na ripoti za MSP
Kuingia kwa wanachama kwa urahisi kwa kutumia viungo vya OTP
Maboresho ya muundo/utumiaji wa programu ya mwanachama
Kuunganishwa kwa CAMS kwa benki moja nchini Tanzania
Akaunti nyingi za kuweka akiba
Kusaidia matawi katika ripoti na uhasibu -
2022 — Q2
Uwezo wa kupata ankara kutoka kwa Wakandi kwenye paneli ya msimamizi na gharama za miamala
Uwezo wa kuangalia na kudhibiti akiba ya mkopa wa rununu kwenye MNOs tofauti zilizosainiwa
Ujumuishaji wa huduma za hazina kwa kazi zinazohusiana na hazina za SACCOs
Uwezo wa kuongeza mikopo zaidi na bidhaa za akiba
Kuunganishwa kwa CAMS kwa Benki ya NMB nchini Tanzania -
2022 — Q1
Maendeleo ya michakato ya kuongeza:
– Kuhusu sera
– Sera ya Uanachama
– Sera ya Bidhaa za Mikopo
Uhamishaji wa data za kifedha kwa mchakato rahisi wa kuwasajili
Utumiaji ulioboreshwa wa lugha ya Kiswahili kwenye paneli ya msimamizi na programu ya wanachama
Uwezo wa kuongeza maombi ya mwanachama mpya
Masharti ya kuhifadhi habari zaidi kuhusu wanachama
2021: Wakandi kwaajili ya SACCOs na Taasisi ndogo za kifedha
-
2021 — Disemba
SACCOs
Uwekaji wa hisa
Muhtasari wa hisa kwenye paneli ya watendaji
Urejeshaji wa hisa wakati wa kumaliza uanachamaTaasisi ndogo za kifedha
Toleo la kwanza la taarifa za mahitaji ya benki kuu -
2021 — Mwisho wa Novemba
Uwezeshaji wa nyaraka za kisheria za SACCOs
Kushirikisha makubaliano ya mkopo na wanachama
Kufichua sheria na masharti za SACCOs kwa wanachama
Kushirikisha kanuni za ukopaji na mahitaji ya nyaraka zingine zinazohitajika -
2021 — Katikati ya Novemba
Uwekaji wa fedha nyingine halafu mikopo (mf. ada ya uanachama na ada nyingine za taasisi)
Uwezo wa kusanidi ada nyingine zitakazolipwa na mwanachama kutoka kwenye paneli ya watendaji
Uwezo wa wanachama kulipa ada
Uwezo wa kutazama muhtasari wa ada zilizolipwa na mwanachama -
2021 — Mwisho wa Oktoba
Orodha ya miamala na taarifa zake kwa kina (namna bora ya kuangalia miamala – miamala yote kwenye mtazamo mmoja
-
2021 — Katikati ya Oktoba
Paneli bora zaidi ya watendaji
Kipengele cha tabia za ulipaji za mwanachama (kiasi cha mkopo ambacho hakijalipwa, mikopo iliyoharibika) -
2021 — Mwanzo wa Oktoba
SACCOs
Uwezo wa kumfuta mwanachama
Uwezo wa kurudisha mchango
Uwezo wa mwanachama kuomba kuondoka kwenye SACCOs
Uwezo wa mwanachama kuona hali ya taratibu za kuondoka kwenye SACCOSTaasisi ndogo za kifedha
Hamisho la amana za usalama
Urejeshwaji wa amana za usalama
Usanidi wa amana za usalama -
2021 — Mwisho wa Septemba
Uwezo wa kutumia Tigopesa kama mtoa huduma wa kifedha
Uwezo wa kutumia Airtel kama mtoa huduma wa kifedha
Uwezo wa kuhamisha michango kutumia fedha taslim Katika SACCOs
Uwezo wa kupokea mkopo wako ulioidhinishwa kama fedha taslim
Uwezo wa kulipia mkopo wako kwa kutumia fedha taslim -
2021 — Katikati ya Agosti
Usitishwaji wa mtumiaji na kurudishwa kwa michango Katika SACCOs
-
2021 — Mwisho wa Julai
Ukamilishaji wa modali ya kutoa taarifa katika SACCO's( kulingana na mahitaji ya Ushirika)
Utekelezwaji wa modali ya kutoa taarifa katika Taasisi ndogo za kifedha
-
2021 — Mwanzo wa Julai
SACCOs
Toleo la 1 modali ya kutoa taarifa (kulingana na mahitaji ya Ushirika)Taasisi ndogo za kifedha
Uachiwaji wa toleo 1.1 la taasisi ndogo za kifedha