Skip to content

Kuwezesha kila shughuli ya SACCOS na MFI yako

Akiba
Asset 49-1
Hifadhi rekodi za kidijitali kuhusu michango inayofanywa na wanachama wako
Mikopo
Loan
Pata uhuru wa kusimamia maombi ya mikopo na malipo mtandaoni
Malipo
Asset 50
Fanya malipo kwa urahisi kupitia simu, benki, au karani
Uhasibu
Accounting
Pata taarifa sahihi za kifedha na ripoti za MSP
Utawala
Administration
Pata udhibiti wa bidhaa, sera, wanachama, na ripoti kwa urahisi

Pata udhibiti bora wa ushirika wako

Jipatie kiwango kipya cha usimamizi wa SACCO kupitia ambayo Wakandi inavyo rahisisha usimamizi wa majukumu yako ya utawala, michakato ya uhasibu, na kuwawezesha wanachama wako kuweka akiba zaidi.

Imetengenezwa kufanya kazi kwa ufanisi kwenye mifumo yako

Simamia kwa haraka Zaidi shughuli zako za kila siku

Utendaji wa kiotomatiki kurahisisha shughuli zako

screen-1

Ni fursa zipi ambazo Wakandi inakufungulia?

Tuna aminika na watu unao waamini

sccult
ushirika

Uthibitisho wa dhamira yetu

Leseni Zetu

Benk of Tanzania

PAYMENT SYSTEM PROVIDER LICENCE – LB422/535/45/03

Hii leseni imetolewa Benki Kuu ya Tanzania kwa Wakandi Tanzania Ltd ili kuweza kuwa mtoa huduma wa malipo

TCRA

TCRA LICENCE – TCRA / NASL / 04 / 2021

Hii leseni imetolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa Wakandi Tanzania Ltd kwa ajili ya ruhusa kutoa huduma za Application za simu Tanzania

TCDC

TCDC LICENCE – TCDC – SP – 2022 – 00027

Hii leseni imetolewa na Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) kwa Wakandi Tanzania Ltd ili kuweza kutoa huduma za tehama kwa vyama vya ushirika vilivyo sajiliwa Tanzania

BRELA

CERTIFICATE OF INCORPORATION OF A COMPANY – No: 140553077

Wakandi Tanzania imejumuishwa kihalali chini ya Sheria ya Makampuni, 2002 kama Kampuni Limited

BRELA

BUSINESS LICENCE – B.L.No:20000021692

Leseni iliyotolewa na BRELA kwa Wakandi Tanzania Limited kwa ajili ya Biashara ya: Maendeleo ya Programu, Ufungaji na Matengenezo

Maarifa na Blogu