Skip to content

Kufanya SACCOs na taasisi ndogo za kifedha kidigitali kwa kutumia Wakandi

pre-registration-1

Wakandi inakusaidia kusimamia fedha za kikundi chako cha akiba kwa ufanisi zaidi

Wakandi ni mfumo wa kipekee unaokusaidia kusimamia mikopo, kuongeza na kuondoa wanachama, kutunza kumbukumbu za miamala na operesheni nyingine zinazoathiri mafanikio ya kikundi cha akiba. Imeundwa kwa ushirikiano wa karibu na SACCOs, VICOBA na taasisi nyingine ndogo za fedha ili iongee moja kwa moja na mahitaji ya vikundi vya kifedha.

CAMS-mobile
Group-275-1
Modali ya kuweka Akiba
Ongeza akiba kwa mwezi/wiki kwa kutumia mtandao wako pendwa wa simu
Group-276
Modali ya kukopa
Omba mkopo mtandaoni na pata kiasi hicho moja kwa moja kwenye akaunti yako ya mtandao wa simu
Group-13
Modali ya Utawala
Simamia shughuli mbalimbali ikiwemo akiba, kuthibitisha au kukataa mikopo, kuongeza au kuondoa wanachama

Muhtasari wa safari yetu nchini Tanzania

Insights and Blogs

Tunasonga mbele! Kaa tayari na kuwa sehemu ya safari yetu.