Skip to content

Make digitization easy

Get your cooperative society or MFI online to boost your growth.

  • Daraja la fursa za kifedha kwa ushirika

    Fikia malengo ya mwaka na suluhisho la wakandi

    Jaribu demo
  • Hakuna anayepaswa kubaki nyuma 

    Jiunge na Wakandi upate had 50% ya punguzo mpaka Disemba.

    Jaribu demo
  • Ongeza kasi ya mapato ya SACCOs

    SACCOS ni Biashara. Tumia CAMS kukua.  

    Jaribu demo

Ukuaji wa SACCOs na MFIs kupitia CAMS

Credit Association Management System (CAMS) ni mfumo wa usimamizi wa taarifa za fedha kwa ajili ya SACCOs na MFIs. Inakusaidia kusimamia akiba, mikopo, uhasibu, ripoti - yote ndani ya mfumo moja. Kupitia CAMS, unaweza kusimamia fedha kwa urahisi zaidi.

  • Unarahisha utendaji na kufuatisha sera zako
  • Umetengenezwa kwa kushirikisha wanaushirika
  • Umebuniwa kufanya baadhi ya shughuli kiotomatiki
  • Umetayarishwa kupokea mabadiliko ya kiteknolojia
Empowering SACCOs and MFIs with CAMS

Fikia malengo, ongeza thamani

Saving Module1
Akiba
Ufuatiliaji wa taarifa za michango iliyofanywa na mwanachama kupitia benki, simu au cash.
Loan Module1
Mikopo
Usimamizi wa mikopo kuanzia hatua ya maombi, uidhinishaji, utoaji wa mikopo na ufuatiliaji marejesho.
Payment Module1
Malipo
Uwezo wa kufanikisha miamala kupitia njia ya malipo utakayo. Cash, bank au mitandao ya simu.
Administration Module1
Uongozi
Simamia majukumu ya chama/taasisi kulingana na cheo chako, sera na mipaka. Kwa mfano kuongeza au kutoa wanachama, kidhinisha mikopo n.k.
Accounting Module1
Uhasibu
Pata tathmini ya hesabu za miamala, mapato na matumizi pamoja na ripoti za kihasibu zinazojitengeneza kiotomatiki.

Tumezingatia mahitaji yako

Mfumo wa taarifa za kifedha uliotengenezwa kwa kushirikisha wanaushirika na wadau wa taasisi ndogo za kifedha.

Ongeza sababu za kukuza SACCOs au MFI yako

  • Jiendeshe kidigitali kwa 100%
  • Uwezo wa jukumu la teller/keshia
  • Uthibiti & utii wa sheria
  • Uhasibu kiotomatiki
  • Ripoti za MSP kiotomatiki
  • Unganishwa na Benki & Mitandao ya simu
  • Weka uongozi, majukumu na sera
  • Ingiza mapato kwa kila muamala
  • SMS kwa wanachama wako
  • Usalama wa data na bima

Ongeza thamani kwa wanachama wako

  • Huduma za SACCO/MFI kupitia App popote
  • Huduma za SACCO/MFI kupitia USSD 
  • Kupata taarifa za mikopo na miamala kwa wakati ndani ya App
  • Uwezo kupakia hati na viambatanishi vinavyohitajika
  • Taarifa za uthibitisho kupitia SMS 
  • Huduma za ziada kama vile bima ya maisha

Tumeungana na wadau wanaojali mafanikio yako

Ushuhuda

Ndugu Evans Binya, Mwenyekiti. TUWASA SACCOS

  • We are fortunate that CAMS, embodies the cooperatives' insights, suggestions, and perspectives. CAMS has everything you can wish for. This solution is simply made by you, the Cooperatives.
    Espen Kvelland
    Wakandi Group CEO
  • Sasa hivi ulimwengu umekuwa ni wa TEHAMA, taarifa nyingi zinatakiwa kupelekwa kwa wasimamizi wetu, Benki kuu BOT, kama ulivyoona warajisi wasaidizi, wanataka hizo ripoti na kuna ripoti ya Benki kuu kila mwezi. Zamani, hata sasa hivi, inachukuwa siku mbili hadi tatu kuiandaa kwasababu haipo kwenye mfumo, lakini kwenye huu mfumo wa Wakandi (CAMS) jinsi walivyoutengeneza taarifa zote zimo, ni wewe tu kujua unataka taarifa gani inakuletea, unaithibitisha tu nakuituma. Tunakoelekea wasimamizi wetu watataka taarifa zetu kwenye mfumo wawe wanaziangalia moja kwa moja
    Bw. Shedrack John
    Mkolani SACCOS
  • Mfumo umetengenezwa vyema na unafanya kazi. Utasaidia kuchanganua umahiri wa kifedha wa SACCOs na kurekebisha makosa yaliyogundulika.
    Bw. Josephat Damas Kisamalala
    Mrajis msaidizi, Tume ya maendeleo ya Ushirika (TCDC)

Tusonge mbele pamoja

Safari yetu
nchini Tanzania

Taarifa and Blogu