Skip to content

Moduli ya Gharama

Tunatoa bei elekezi yenye mgawanyiko sehemu mbiliada ya mwanachama hai inayolipywa na Saccos, na ada ya muamala inayolipwa na mwanachama.

Ada ya Mwanachama Hai

Hupaswi kulipia mwanachama ambaye hajafanya muamala wowoteHivyo tunatoza kwa wanachama waliofanya miamala ndani ya SACCOS kwa mwezi husika. Hii ada inalipwa na Saccos na inakatwa kwenye akaunti iliyowekewa pesa.

Asset 34@2x

Ada za Miamala

Ada ya Moja kwa Moja

Hii ada italipwa na mwanachama kwa kila muamala atakaofanya na SACCOS (Kupitia mtandao wa simu, benki au fedha taslimu). 

Kiwango cha Chini  Kiwango cha Juu  Ada
0 4999 50
5000 14999 100
15000 29999 200
30000 44999 300
45000 59999 400
60000 124999 500
125000 249999 800
250000 499999 1000
500000 500000+ 1500

 

Ada Isiyo ya Moja kwa Moja 

Hii ni ada ambayo SACCOS itakusanya kwa kila muamala utakaofanywa na mwanachama (kupitia mtandao wa simu, benki au fedha taslimu).

 Kiwango cha   Chini   Kiwango cha   Juu   Ada
0 4999 100
5000 14999 200
15000 29999 400
30000 44999 600
45000 59999 800
60000 124999 1000
125000 249999 1500
250000 499999 2000
500000 999999 3000
1000000 1999999 6000
2000000 2000000+ 10000

 

Bei zote tajwa hapo juu zina kodi ya mapato na zipo katika TSH. Ikitokea muamala umefanywa kupitia mtandao wa simu, ada nyingine itatozwa na Mitandao ya Simu husika.